Burudani

Serengeti Fiesta Bongo movie 2011 ndani ya Dar

film_clouse_tv_face
Tamasha la Serengeti Fiesta Filamu Bongo Movie 2011, juzi lilifikia jijini Dar es salaam katika viwanja vya Leader Club ili  kutafuta watu ambao wanaweza kuigiza vizuri  na wenye vipaji vya kweli,  ili kuweza kuwainua na  kuwa waigizaji wakubwa nchini na nje ya Nchi. Tamasha hilo ambalo lilizunguka mikoa kadhaa Tanzania, na hatmaye kurudi Dar lilipokea na wapenzi wengi wa filamu.

 

Majija ambao wakiongozwa na zamaradi Mtetema, walionekana kuwa makini zaidi katika kugundua kipaji cha kweli, kwa wasanii  ama vikundi mbalimbali vilivyojitokeza katika kuwania nafasi hiyo pale Leader Club.

filamu_clouse_tvWasanii wakionyesha uwezo wao wa kulitawala jukwaa kwa maigizo mafupi.

film_clouse_tv_maigizo
Wasanii wakionyesha uwezo wao, hata kuigiza kufa nayo imo.
film_clouse_tv_video
Fundi mitambo wa Clouse Tv, nao walikuwa pamoja ilikuhakikisha kama kipindi hicho kinaenda vizuri kwenye Clouse Tv.
film_clouse_tv_waigizaji2
Wasanii wakiendeleza Mbwembwe zao
film_clouse_tv_washiriki
Wasanii wakisubiri zamu yao ya kuingia jukwaani kwa kuonyesha vipaji vyao.
film_clouse_tv_washiriki_2
Wasaniii wakisubiri kuitwa.
fil_clous_tv_zamaradi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents