Michezo

Sergi Roberto ajifunga FC Barcelona hadi mwaka 2022

Kiungo wa klabu ya FC Barcelona, Sergi Roberto ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022.

Roberto  mwenye umri wa miaka 26 amecheza michezo 34  msimu huu amehusishwa kutaka kujiunga na kikosi cha Pep Guardiola wa Manchester City.

Bosi wa klabu ya Barcelona, Ernesto Valverde amehakikisha kumuongezea mkataba mchezaji huyo huku hada yake ya uhamisho kwa timu itakayo muhitaji ikiwa ni pauni milioni 440.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents