Michezo
Sergio Aguero awa mchezaji bora, Ronald Koeman kocha bora wa Januari England
Mshambuliaji wa Argentina na klabu ya Manchester City, Sergio Aguero ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England mwezi kwa Januari.
Hadi sasa Aguero ameisaidia sana timu yake ya Manchester kutofungwa na kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu.
Aguero hadi saivi amefunga jumla ya mabao saba Januari na kutoa pasi moja ya bao
Naye kocha wa Southampton,Ronald Koeman ameshinda tuzo ya kocha Bora wa Mwezi Januari England, baada ya kuiongoza yake kuzifunga Watford, West Brom na Manchester United.
Kocha Ronald Koeman wa Southampton ameshinda tuzo ya kocha Bora wa Mwezi Januari England