Habari

Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuboresha huduma za afya hapa nchini ikiwemo kuongeza bajeti wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents