Habari

Serikali kupokea mkopo wa tsh bilioni 440 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (Video)

Serikali imesaini Makataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi Bilioni 440.703 pamoja na msaada wa shilingi Bilioni 45 kutoka benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Katika Ofisi za Wizara ya fedha na Mipango jijini DSM.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents