Habari

Serikali ya Tanzania kuburuzwa mahakamani, yapewa siku 45 kujibu malalamiko ya wapinzani (+video)

Serikali ya Tanzania imepewa siku 45 za kujibu malalamiko ya vyama 8 vya upinzani yaliyopelekwa katika Mahakama ya Afrika Mashariki, juu ya kupinga Sheria mpya ya Vyama vya Siasa.

Kesi hiyo imesajiliwa kwa namba 3/2019, na imefunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe na wenzake wanne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents