Habari

Serikali ya Wanafunzi UDSM yatoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo haya manne

Serikali ya Wanafunzi UDSM yatoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo haya manne

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wametishia kwenda kukusanyika katika Ofisi ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu, (HELSB), endapo ndani ya saa 72 watakuwa hawajawaingizia fedha baadhi ya wanafunzi ambao ni wanufaika wa mkopo.

Maazimio ya wanafunzi wa UDSM dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu. DARUSO imetoa saa 72, bodi iwe:

i. Imepeleka fedha za wanafunzi chuoni

ii. Imerudisha fedha za wanafunzi zilizokatwa

iii. Imewapangia mikopo waliokata rufaa

iv. Imbadili afisa mikopo chuoni hapo

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents