Habari

Serikali yaagiza magazeti yote yasajiliwe upya

Serikali kupitia Msemaji wake, Dkt Hassan Abbas amesema kuwa kuanzia leo hadi tarehe 15 Oktoba magazeti yote yanatakiwa kuhakikisha yanasajiliwa upya.

 

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, amesema Machapisho ya Serikali na Taasisi binafsi ni lazima yasajiliwe.

Soma taarifa yake:

Hata hivyo taratibu zote za upatikanaji wa leseni zimewekwa katika tovuti yao http://www.maelezo.go.tz

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents