Habari

Serikali yagoma kufuta tozo daraja la Kigamboni (+video)

Serikali kupitia Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, ajira na watu wenye ulemavu, Antony Mavunde imesema haitafuta tozo inayotozwa katika daraja la Kigamboni kwasababu fedha hizo zinatumika kulipa deni la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents