Habari

Serikali yaongeza siku za utoaji leseni za machapisho

Serikali imeongeza muda wa siku 14 kwa wamiliki wa machapisho kupata leseni na baada ya muda huo machapisho hayo hayataruhusiwa mpaka yatakapo kamilisha taratibu na huku ikisema watakao kiuka watakuwa wametenda kosa la jinai.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents