Serikali yapinga kauli ya Trump ya kuzifananisha nchi za Afrika na ‘Tundu la Choo’

Serikali ya Botswana imetoa kauli ya kukemea vikali kauli ya Rais Trump akizifananisha nchi za Afrika, Haiti, Ecuador na ‘Tundu la Choo’.

Wizara ya Mambo ya Nje wa nchini humo imemuita Balozi wa Marekani nchini humo ili atoe maelezo kuhusu kauli hiyo ya Trump.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW