Habari

Serikali yapinga taarifa zinazodai imewakataza watumishi wa Umma kukopa

Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imepinga taarifa zilizosambaa mitandaoni zinazodai kuwa serikali imewapiga marufuku watumishi wa Umma kukopa kwenye mabenki, Saccos, Vikoba na taasisi nyingine za kifedha.

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents