Habari

Serikali yashusha neema kwa vijana nchini (+video)

Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, ajira na watu wenye ulemavu, Antony Mavunde amesema kuwa serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu ina programme ya ukuzaji ujuzi nchini ambayo lengo lake kubwa ni kuhakikisha tunaisaidia nguvu kazi yetu hasa vijana wengi kupata fursa ya kujifunza kwa vitendo:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents