Tupo Nawe

Serikali yatoa angalizo kwa viongozi wa umma wasio waaminifu kazini ‘Fedha ya Watanzania ni kaa la moto’ (+Video)

Serikali ya Tanzania imesema kuwa itaendelea kutumbua viongozi wote watakaoshindwa na kasi ya maendeleo ya Rais Magufuli, na wale watakaokuwa sio waaminifu kwenye miradi ya maendeleo mpaka nchi inyooke.

Hayo yamesemwa leo Novemba 6, 2019 na Msemaji mkuu wa Serikali, Dkt. Hassani Abbas kwenye mkutano wake na waandishi wa habari

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW