Habari

Serikali yazungumzia Mkopo wa Benki ya Dunia wa dola za Kimarekani Mil.500, watoto waliopata mimba shuleni (+Video)

Serikali ya Tanzania imesema kukawia kwa mkopa wa Dola za Marekani milioni 500 kumetokana na majadiliano kati ya serikali na Benki ya Dunia ambayo yalichukua muda mrefu zaidi tofauti na inavyoelezwa na baadhi ya watu.

https://www.instagram.com/p/B-mMeXfBPjG/

SOURCE AZAM TV

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents