Michezo

Sevilla itaendelea na mfumo wa kushambulia – Eduardo

Kocha mpya wa klabu ya Sevilla ya nchini Hispania, Eduardo Berizzo amesema ataendeleza mfumo wa kushambulia ambao umeachwa na meneja Jorge Sampaoli.

Kocha wa klabu ya Sevilla ya nchini Hispania, Eduardo Berizzo

Sampaoli alikinoa kikosi hicho na kukiwezesha kumaliza katika nafasi ya nne msimu uliomalizika kabla ya kwenda kuitumikia timu ya Taifa ya Argentina.

Meneja huyo wa zamani wa Celta Vigo, Berizzo alithibitisha falsafa ya Sampoli ataiendeleza ndani ya kikosi hicho ambacho kilifanya vyema zaidi msimu wa mwaka 2016/17

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents