Shaaban Robert Wanaweza

Shaaban Robert Wanaweza
Wanafunzii wapatao 50 wanaosoma katika vidato mbali mbali ndani ya
Shaaban Robert Secondary School, waliweza kupagawisha wanafunzi wenzao,
ndugu, jamaa na wazazi kadhaa waliojitokeza kushuhudia usiku wa vipaji
siku ya jumamosi ya tarehe 18 mwezi wa 7 2009 katika ukumbi wa sherehe
wa shule hiyo

Wanafunzi hao ambao walijigawa katika makundi mbali mbali waliweza kupagawisha na shoo za rap na hip hop, r & b, break dance, Ndombolo pamoja na fasheni shoo ya mavazi ya nguvu iliyochanganya wanafunzi wenye asili za ki Hindi, Arabu na Afrika.

Shaaban Robert Wanaweza

Bongo5 ilikuwepo katika shoo hiyo na kushuhudia vipaji vingi pamoja na ubunifu wa hali ya juu katika shoo hiyo hasa hasa kwenye break dance na Ndombolo ambapo washiriki walishangiliwa vya kutosha kwa kuonyesha ukomavu wa kutosha katika kuandaa matamasha ya vipaji kwa vijana.

Bofya hapa kuangalia video za Talent Show!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents