Shabiki alivyomkimbilia Diamond na kumpigia magoti akiomba pikipiki, Nisaidie nikamuokoe babu yangu (+Video)

Leo katika tukio la uzinduzi wa mhuri wa Safe Travels tukio ambalo liliandaliwa na Bodi ya Utalii chini ya Waziri mwenye dhamana @hamisi_kigwangalla lilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii @diamondplatnumz na @harmonize_tz

Wakati tukio limemalizika shabiki mmoja alimkimbilia @diamondplatnumz wakati anaelekea kwenye gari lake na kumuomba amsaidie Pikipiki ya kazi.

Baada ya kauli hiyo @diamondplatnumz aliamua kumsaidia ambapo alikabidhiwa hela ili akanunue pikipiki lakini morning akaomba pikipiki ikanunuliwe ili akabidhiwa chombo badala ya pesa.

Bongo5 tutafuatilia na kujua kama atakabidhiwa au laah kaa karibu na Bongo5.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW