Burudani

Shaffih Dauda, Alikiba, Diamond Platnumz wavutwa na Haji Manara

Mchambuzi wa mpira na msimamizi wa vipindi vya kituo cha Radio cha Clouds Fm, Shaffih Dauda ni moja ya watu walioalikwa na Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara kwenye uzinduzi wa Manukato yake ya De La Boss .

https://www.instagram.com/p/BtGwlI4AV0c/

Mualiko huo unakuja katika kipindi hiki ambacho Shaffih Dauda na Haji Manara wamekuwa wakizozana kwenye mitandao ya kijamii.

Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika leo Jumapili Januari 27, 2019 katika Hoteli ya Hyatt Regency utahudhuriwa pia na mastaa kibao akiwemo Diamond Platnumz na Alikiba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents