Habari

Shaggy: Aisee siwezi kuvuta bangi kama Sean Paul, jamaa ni noma!


Hitmaker wa ‘It Wasn’t Me’ Shaggy na muimbaji mwenzake wa Jamaica, Sean Paul ni marafiki sana na waliwahi kufanya collabo ya ngoma ‘Hey Sexy Lady’, lakini Shaggy anasema hawezi kuvuta bangi kama mshikaji wake huyo sababu mwenzie anaivuta haswaa.
Shaggy ameuambia ‘exclusively’ mtandao wa BANG Showbiz: “I have grown up with members of my family using marijuana, it has become part of our lives and part of our culture, so, you know I’m a little more lenient to it than most people.
“Nimejulikana kwa kuivuta, lakini sio kama Sean Paul, he takes it to that next level, you know. Lakini ana asthma sasa hivi, hawezi kuvuta kama zamani tena.”
Sean amewahi kusema kuwa sasa hivi imembidi kuweka bangi kwenye chai ili kulinda sauti yake na mapafu dhidi ya moshi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents