Habari

Shaggy akiwasili Zenji

Shaggy_Face_ziff
MWANAMUZKI wa Kimataifa Shaggy leo amewasili saa 9: 30 Zanzibar akitokea Dar es salaam kwa Boti ya kukodiwa baada ya kukataa kupanda ndege kwa lengo la  kutumia boti katika safari yake hiyo ya  kuja Zanzibar katika Tamasha la Filamu Zanzibar ‘ZIFF’.

 

Inasemekana mwanamuziki huyo alitoka Dar es salaam tangu saa 7 mchana na kuwasili  Zanzibar saa 9 na nusu,  kwa kutumia boti ya kukodi huku akitumia muda mwingi baharini.

Shaggy anatarajiwa leo kufanya Show katika ukumbi wa Ngome Kongwe, katika usiku wa leo yaani Ijumaa kuamkia Jumamosi kwaajili ya Tamasha la Filamu la Zanzibar ‘ZIFF’

Shaggy_ziff_akitoka
Mwanamuziki Shaggy akipanda kwenye ngazi kutoka kwenye boti iliyomfikisha Zanzibar kutoka Dar.
Shaggy_Ziff_akitua
Boti ndogo ambayo ilienda kumpokea na kumleta hadi kando kando ya bustani ya Forodhani iliyopo mbele ya Jumba la Kome Kongwe.

Shaggy_Ziff_harisi

Shaggy akiingia Zenji
Shaggy_Ziff_akipokewa
Hapa wananchi wakimpokea na walinzi wakimpeleka sehemu nzuri kwaajili ya mapumziko ya muda.
Shaggy_Ziff_saruti
Shaggy akipiga saruti ya vidole viwili kuwasalimia mashabiki wake ambao wamekuwa wakishangilia tangu kushuka kwake kwenye Boti
Shaggy_Ziff_warembo
Warembo wa Tusker , wakijiandaa kumpokea Shaggy ambaye alikuwa tayari ameshakaribia.
Shaggy_Ziff_wavuvi
Wavuvi wakiwa karibu na mitubwi yao wakimwangalia Shaggy akiwasili.
Shaggy_Ziff_msafaraMsafara wa Shaggy akitoka maeneo ya Bustani ya Forodhan, na kwenda sehemu ya kupumzika kwa muda na kisha baadaye arudi kwaajili ya Tamasha lenyewe la Visiwa vya karafuu, ZIFF.

Shaggy_ziif_Coconut_Fm

Wafanya kazi wa  Radio ya Coconut ‘Fm, ambayo ndiyo waliomleta Shaggy katika tamasha filamu Zanzibar ZIFF.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents