Burudani

Shakira ahamia kwa Jay Z!


Sexy Songstress kutoka Colombia,Shakira, star wa hitsingle ‘waka waka’ na ‘hips dont lie’ amepata bonge la shavu baada ya kupata dili la kurekodi muziki chini ya usimamizi wa Bwana mkubwa Jay Z.

Label hiyo ya Roc Nation imesema inafuraha kumpata msanii mwenye kiwango cha talent alichonacho Shakira na kudhamiria kufanya miziki ya ukweli mwaka huu.

Shakira anaungana na wasanii wakali kama Rihanna, Melani Fiona,Wale na J.Cole.

Big Up to Shakira and Jay!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents