Videos

Shakira na Piqué kufanya ‘baby shower’ mtandaoni kusaidia watoto wenye shida

Balozi mwema wa UNICEF Shakira ambaye ni mjamzito na nyota wa FC Barcelona Gerard Piqué wanawakaribisha marafiki na mashabiki kwenye baby shower ya mtandaoni katika kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu duniani.

Kushiriki kwenye baby shower hiyo tembelea: http://shakira.socialtoaster.com/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents