Burudani
Shakira: Rihanna ni msichana anayevutia kuliko wote duniani
Shakira amemuita Rihanna ‘the sexiest woman on the planet’.
Shakira
Muimbaji huyo kutoka nchini Colombia ambaye amemshirikisha Rihanna kwenye wimbo mpya, ‘Can’t Remember to Forget’ alimeliambia jarida la Glamour kuhusiana na collabo yake na Riri.
Rihanna
“She’s the sexiest woman on the planet,” alisema. Na mwisho wa siku wote ni wasichana kutoka Caribbean. Uelewano wetu ulikuwa mzuri na halisi. Alinifundisha kucheza. Alikuwa ni mwalimu mzuri.”
Wimbo huo utatoka wiki ijayo.