Shamsa Ford: Vibenten vinanisumbua sana, jamani mimi siongi (Video)

Msanii wa filamu Shamsa Ford amefunguka kuzungumzia namna anavyosumbuliwa na vibenten.

“Vibenten vinanisumbua sana, yaani sijui kwanini. Unakuta kijana kidogo kinakuja huku linang’ata ng’ata mdomo”

Aliongeza “Naomba mnikome, tena sasa hivi vikinitongeza asubuhi mchana anakutana na bili ya dola 5000 atakimbia tu”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW