Michezo

Shawn Porter akubali kuzichapa na Thurman, June

Shawn Porter ambaye ameshinda mapambano 26 kati ya mapambano 28, amekubali kuingia ulingoni kupigana na Thurman, Juni 25.

20160123051404_003_Keith_Thurman_and_Shawn_Porter

Shawn Porter na Thurman ambao wote ni raia kutoka nchini Marekani, watapambana kuwania mkanda wa WBC.

January mwaka huu Porter, 28, alisema, “Naamini uwezo wangu, ndio maana naangalia pambano langu hili la mbele kwa sababu mimi pekee ndio ninaweza nikampiga Keith Thurman. Sijui kama atakuwa tayari kukubali kupigana na mimi.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents