BurudaniDiamond Platnumz

Sheddy Clever alenga kuwakutanisha Diamond na Jose Chameleone kwenye wimbo wa pamoja

Producer wa hit ya Diamond Platnumz, My Number One, Sheddy Clever amesema ana mpango wa kuwakutanisha Diamond na Jose Chameleone kwenye wimbo atakaoutayarisha.

page

Akizungumza na Capital Radio, Sheddy Clever amesema tayari Diamond ameshaanza mazungumzo na Chameleone ili kuweka mambo sawa.

“Nina hamu sana ya kufanya kazi na wasanii wa nje ila kwa hapa East Africa nikimpata kama yule Dk (Chameleone) nitafurahi sana, Connection ambazo zipo namshukuru Platinum ana ukaribu naye na anifanyia connection hizo na vile vile wanaweza wakapiga collabo kwasababu ni wazo langu pia nilimpa Platnumz na nikawa nahitaji tufanye kitu kama hicho, kolabo ya Jose na Platnumz,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents