BurudaniUncategorized

Sheikh Kipozeo afunguka baada ya kusikia Diamond kavaa ‘kikuku’ (Video)

Sheikh Kipozeo ambaye amekuwa akitoa mawaidha katika mambo ya maadili, amefunguka ishu ya wanaume kuvaa cheni miguu ambapo amedai wanaume wanaojifanisha na wanawake kwa kuvaa cheni wamelaaniwa na Mwenyezi Mungu. Kipozeo amesema sio kwa Diamond tu wanaume hawaruhusiwi kuvaa vitu ambavyo vinavaliwa na wanawake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents