Aisee DSTV!

Sheikh Kipozeo atimiza ndoto yake kwa Rais Magufuli ‘I love you so much, Tuna ndege 8 na nimezipanda (+Video)

Sheikh maarufu nchini Tanzania, Sheikh Kipozeo ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Magufuli na kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa imara kiuchumi.

Sheikh Kipozeo amekutana na Rais Magufuli leo Mei 21, 2019 kwenye hafla ya kukabidhi gawio la Serikali kutoka katika Kampuni ya TTCL ambapo Rais Magufuli alikuwa mgeni rasmi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW