Habari

Sheikh Kipozeo na wanaovaa cheni za dhahabu ‘ushoga unawawinda’ (Video)

Shehk Hilal Kipozeo amewataka wanaume kuacha kuvaa cheni za dhahabu kwa madai cheni hizo ni kwaajili ya wanawake. Amedai akitokea mwanaume akavaa cheni ya dhababu basi baada ya miezi miwili utaanza kuona dalili za uchoga.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents