Sheikh Mazinge: Tusidanganywe tukaharibu amani yetu, ikiharibika baba au mama atabeba paka badala ya mtoto (+Video)

Katika tukio la kuliombea Taifa la Tanzania amani kuelekea Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 28/10/2020 siku ya jumatano ya wiki hii lililofanyika katika Shule ya Kiislamu ya Al Hekma Temeka ambapo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa Wilaya hiyo Godwin Gondwe, Sheikh Mazinge naye alikuwa mualikwa katika dua hiyo.

Sheikh Mazinge amesisitiza sana Amani kwa kuongea maneno haya mazito.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW