Habari

Sheikh Nurdin Kishki, DC Temeke waliombea taifa, ataja sifa tatu za kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi (+Video)

Sheikh na mkurugenzi wa Taasisi ya Al Hekma wameliombea taifa kuelekea Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 28/10/2020 ambao utakuwa siku ya Jumatno ya wiki hii.

Katika maombi hayo ambayo yalifanyika siku ya Ijumaa walimwalika mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Godwin Gondwe.

Sheikh huyo ametaja sifa za kiongozi anayetakiwa kuliongoza taifa la Tanzania na kuwaomba wananchi na Watanzania wote kuwa makini katika uchaguzi huu na kuwaomba wachague kiongozi mwenye sifa hizi.

Mbali n ahilo Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe ameongea haya baada ya kukaribishwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents