Burudani

Shetta aweka wazi sababu za kutokuongea na Diamond ” Kila mtu afanye mambo yake” (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi ambaye pia ni Mkurugenzi wa King Empire pia meneja wa The Mafik, Shetta amefunguka mwanzo mwisho sakata lake na msanii mwenzake wa Bongo Fleva Diamond la kutokuongea nae.

Msanii huo ametaja sababu ambazo zilisababisha asiongee nae inagawa alikuwa mshikaji wake sana na kuongeza kwa sasa kama ataongea nae labda mambo ya kibiashara tu.

Shetta wakati akipiga stori na Bongo 5 alisema haya:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents