Burudani

Shetta: Nina ngoma saba mpya na zote kali

Baada ya Shikirobo tarajia ngoma zingine kali kutoka kwa Shetta.

11375313_1660537620828116_1538688231_n

Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameandaa nyimbo saba mpya ambapo atachagua moja ya kutoka. Amesema muziki wa sasa unahitaji nyimbo nzuri na sio kubahatisha.

“Watu wategemee ngoma kali, sitaki kuongea sana, video kali. Kuna ngoma kama saba nimeziandaa,” amesema Shetta.

“Yeyote itatoka kwasababu muziki umekuwa unahitaji kazi nzuri ili iweze kufanya vizuri. Kwahiyo naweza nikatoa collabo pia, chochote kinaweza kutokea.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents