Burudani

Shilole aeleza sababu ya kwenda kugombea Ubunge Igunga “Wananchi wanalalamika hali mbaya” (Video)

Msanii wa muziki na mjasiriamali, Shilole amefunguka kwa kudai kwamba anakwenda nyumbani kwao Igunga kwenda kugombea Ubunge baada ya Wananchi kumlalamikia hali ni mbaya. Muimbaji huyo amedai akina mama wanalalamika hali mbaya kwa kuwa hawajawekewa mazingira mazuri na kufanya biashara na kujikwamua kiuchimi.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents