Burudani

Shilole: Collabo yangu ya Wizkid na Koffi zinakuja, wameniambia niende nchini kwao kwanza (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialshilole amezungumzia suala la yeye kufanya Collabo na @wizkidayo pamoja na @koffiolomide_officiel

@officialshilole ameongeza kuwa ingawa alipata shida sana kuongea na uongozi wa @wizkidayo lakini kwa sababu meneja wa @wizkidayo Sunday anamkubali sana hivyo wameelewana atasafiri kwenda Nigeria kwa ajili ya kurekodi.

Kuhusu Collabo na @koffiolomide_officiel ameeleza kuwa mipango tayari imekamilika na pia atasafiri kwenye Congo kwa ajili ya kurekodi kwenye studio ya Mopao na kushot video kwenye hotel yake huko Kinshasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents