Shilole: Kurudiana na Uchebe ni sawa na kuendesha gari likiwa kwenye handbrake (Video)

Msanii wa muziki @officialshilole amelamba dili la ubalozi wa @gsmtanzania kupitia bidha ya GSM Coconut Cream ambapo pia alipata fursa ya kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu maisha yake.

Msanii huyo alisema kurudiana na aliyekuwa mume wake Uchebe ni kama kuliendesha gari ambalo lipo kwenye handbrake.

 

u

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW