Tupo Nawe

Show ya uzinduzi wa Tripple S ya Kassim Mganga ‘kaa mbali na watoto’ (Video)

Muimbaji Kassim Mganga aka Gwiji alivyodatishwa na mauno ya warembo kutoka Kenya waliohudhuria uzinduzi wa project yake mpya Tripple S ambayo ndani yake ina ngoma tatu ikiwemo Solemba.

Show hiyo ya live imefanyika usiku wa Ijumaa hii katika kiota cha burudani cha Last Minutes cha mrembo Irene Uwoya na kuhudhuriwa na mashabiki pamoja na wadau mbalimbali wa burudani.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW