Habari
Shuhuda wa ajali iliyoua madereva bodabora wengi Moro afunguka (Video)
Gari la tanki ya mafuta aina ya petroleum limewaka moto na kusababisha Vifo vya watu kadhaa hasa waendesha pikipiki wa maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro.
https://youtu.be/iRK6OvZ9oG8
Watu hao idadi yao inakabiliwa kufika hamsini na kamanda wa polisi yupo eneo la tukio. Taarifa kamili zinakuja.
Source: Mtandao