Michezo

Shuhudia kikosi cha Equarial Guinea kilivyo tinga Uwanja wa Taifa usiku kufanya mazoezi (+video)

Timu ya taifa ya Equarial Guinea imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa taifa majira ya saa 2 kasoro usiku ikijiandaa kwaajili ya mchezo wao dhidi ya Taifa Stars kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2021.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents