Michezo

Shuhudia muonekano wa Fellain baada ya kunyoa nywele zake,asema huo ndio muonekano wake mpya (+Picha)

Shuhudia muonekano wa Fellain baada ya kunyoa nywele zake,asema huo ndio muonekano wake mpya (+Picha)

Mchezaji wa Manchester United na taifa la UbelgijiĀ Marouane Fellaini-Bakkioui ameamua kubadilisha staili yake ya nywele na kuamua kunyoa zote na kubakiza zikiwa katika saizi moja.

Mchezaji huyo raia wa Ubelgiji amekuwa na aina ya nywele kwa staili moja kwa kipindi kirefu sasa na haijajulikana sababu hasa iliyompelekea mchezaji huyo kubadili muonekano wake mpya wa nywele ingawa amesema siku yake ya kuzaliwa imekaribia.

Huu ndio Muonekano wake:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents