Burudani ya Michezo Live

Sifa 10 Mgombea uchaguzi Serikali za Mitaa moja awe kada wa CCM, wabunge wa washindwa kuzuia hisia zao (+Video) 

Hapo jana siku ya Alhamis ya Juni 13, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alizungumzia uchaguzi mkuu wa Serikali za Mitaa unaokuja wakati akiwasilisha Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2019/2020 huku akitaja sifa ambazo mgombea anapaswa kuwanazo swala ambalo liliwafanyawabunge wa chama tawala (CCM) na wapinzani kushindwa kujizuia hisia zao na kuanza kupiga kelele huku wengine wakishangilia kutokana na sifa ya kumi (10) ambayo ni kutoka ndani ya Chama cha siasa ambacho ni CCM.

“Mhe: Spika naomba nirudie sifa ya 10, awe anatoka ndani ya chama cha siasa, kinachotetea maslahi na haki za wanyonge na chama hicho ni CCM,”-  Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW