Burudani

Video: Sifanyi kazi na Team Kiba, mimi ni WCB – Stereo

Msanii wa muziki wa Hip Hop Stereo amedai kwa sasa anafanya kazi chini ya WCB hivyo hawezi kufanya kazi na wasanii wa team Kiba. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mpe Habari’ akiwa amemshirikisha Rich Mavoko, amesema anakuja na kolabo akiwa amemshikisha msanii ambaye watu hawawezi kumfikiria kama atafanya naye kazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents