BurudaniVideos

Sikiliza Bao la kete kutoka kwa At

at2
Kama ilivyokawaida ya mazao yaani ukitaka korosho nenda Kusini huko Lindi, Kilwa na Mtwala na ndivyo muziki yaani ukitaka Hip Hop nenda A Town (Arusha) lakini ukitaka mduara nenda Zanzibar.. Hiki ni kitu kipya kutoka kwa mwanamuziki At pande za Zenji.


Wimbo wake wa Vocha ndiyo kwanza anaanza kuusambaza, ili kujua bao la kete na ‘Bao la kete…Herua.. herua herua..” hebu sikiliza. By Mo

At-Bao la kete

{mmp3}At-baolakete.mp3{/mmp3}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents