Muziki

Sikiliza EP ya Andre K kutoka Dom Down Click (DDC) hapa

Andre K kutoka kundi la Dom Down Click (DDC) ameachia EP yake mpya ‘Elimu Ya Juu’ yenye nyimbo nne.

Ep hiyo imetayarishwa na maproducer wawili akiwemo Slim Sal na Sam Chad. Lakini pia amewashirikisha wasanii wengine kama Maarifa Big Thinker, The Rapist, Adam Shule Kongwe na Slim Sal.

Bonyeza hapa chini kusikiliza nyimbo hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents