Habari

Sikiliza sauti ya kilichotokea wakati trafiki alipomsimamia mke wa waziri na kupelekea kupandishwa cheo

Hakuna aliye juu ya sheria. Mke wa waziri (jina kapuni) ameligundua hili kwa njia ya kufedhehesha zaidi.

TRAFIK

Mama huyo alidaiwa kusimamisha gari kwenye alama za zebra na kumfanya trafiki amkamate. Baada ya kukamatwa mama huyo alidaiwa kuleta zile za ‘unajua mimi ni nani’, ‘unajua mimi ni mke wa waziri’ kumtishia trafiki huyo ambaye hakutishika.

Badala yake alimpigia simu bosi wake kumweleza kilichotokea. Juzi Rais Dkt John Magufuli alimwagiza IGP ampandishe cheo. Sikiliza sauti ya ilivyokuwa hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents