Sikiliza wimbo mpya wa mjukuu wa Mbaraka Mwinshehe

Msanii mpya wa kike kutoka THT, Marissa ameichia wimbo wake mpya unaitwao ‘Ukaronda’ ambao umetayarishwa na Producer Ema The Boy. Marissa pia ni mjukuu wa msanii wa zamani wa muziki, Mbaraka Mwinshehe.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW