Sikiliza wimbo mpya wa msanii wa Rwanda aliyeingia kwenye Bongo Flava

Muziki wa Bongo Flava umekuwa ukitoboa nje ya mipaka ya nchi kila kukicha mpaka umeweza kutambulika Afrika na sasa hivi unajisogeza Marekani na Ulaya.

Msanii Mr D kutoka Rwanda ambaye anaishi nchini Marekani ameachia wimbo wake wa kwanza rasmi uitwao ‘Yolo’ ambao una mahadhi ya Bongo Flava. Hata hivyo wimbo huo ni wanne kwa msanii huyo tangu ameanza muziki.

Bonyeza hapa kusikiliza wimbo huo

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW