Burudani

Sikiliza wimbo mpya wa Rihanna aliomshirikisha Chris Brown – Nobody’s Business

http://www.youtube.com/watch?v=h3XVJ4ZtahM

Ngoma mpya ya Rihanna itakayokuwa ndani ya albam yake ijayo, Unapologetic, imetinga kwenye shamba huria la mtandaoni (internet) jana. Hii ni mara ya tatu wapenzi hao wa zamani wamefanya kabla tangu Chris ampige Rihanna mwaka 2009. Ni ngoma fulani hivi ambayo ukiisikia unaweza kuhisi ni zile nyimbo za miaka ya 70 ama 80.

Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents