Habari

Siku ya michezo Miss Tanzania

Miss_Tanzania_Wote
Leo ilikuwa siku michezo wa Mamiss wa Tanzania iliyofanyika kwenye Hoteli, ya Jangwani Se Breeze kwajili ya kumtafuta mshindi katika medeli ya michezo kwa  mamisi hao ambao walikuwa wakishana kwenye michezo mbalimbali ikiwemo kukimbi mbio, kukimbia kwenye gunia, mpira na kila aina ya mchezo ilikumpata mchezaji bora.

 


Zifuatazo ni baadhi ya picha za ushiriki wa mamisi hao katika michezo mbalimbali.

Miss_Tanzania_aliyepita

Miss_tanzania

Miss_Tanzania_kuruka

Miss_Tanzania_Mbio

Miss_Tanzania_mguu

Miss_Tanzania_ndani_ya_gunia

Miss_Tanzania_vodacom

Miss_Tanzani_danadana

Miss_Voda_com

Miss_Tanzania_Lundenga

 

Mwisho alifunga mzee Mzima Lundenga katika kuruka kwa chini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents